MAONESHO YA PILI YA NACTVET
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametembelea Banda la Chuo Cha Ufundi Arusha (ATC) kwenye maonesho ya pili ya elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi jijini Arusha ambapo amepata maelezo mbalimbali ya shughuli zinazofanywa chuo.
INVITATION FOR ADMISSION INTO ORDINARY DIPLOMA PROGRAMMES OFFERED BY ATC FOR THE ACADEMIC YEAR 2023/2024
Arusha Technical College invites all qualified applicants to apply various Ordinary Diploma Programmes offered by ATC. The deadline for Diploma Applicants 28.07.2023
Maadhimisho ya Siku wa Wafanyakazi (Mei Mosi, 2023)
Arusha Technical College kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi ( Mei Mosi, 2023 Jijini Arusha) . Maadhimisho ya Mwaka huu yanaongozwa na Kaulimbiu ya " Mishahara bora na ajira za staha ni nguzo kwa maendeleo ya Wafanyakazi. Wakati ni Sasa
Inclusion of young women in TVET and the labour market
List of Short Courses from Different Fields.
Study with Us !
ATC NA RUWASA ZASAINI MKATABA
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Dkt. Musa N. Chacha na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Mhandisi Clement KIVEGALO wakionesha Mkataba wa makubaliano wa Utengenezaji wa Dira za Maji za Malipo ya kabla ya Matumizi baina ya ATC na RUWASA waliosaini leo 21 Juni, 2022, jijini Dodoma na kushuhudiwa na Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Juma Kipanga (Hayupo kwenye picha). Mkataba huu utakiwezesha Chuo cha Ufundi Arusha Kutengeneza Dira za Maji za Malipo ya Kabla ya Matumizi zipatazo mia moja ambazo zitatumiwa na RUWASA katika kuboresha Makusanyo na matumizi ya maji vijijini kwa kipindi cha miezi sita.
Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo la Ufundi Tower
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoweka jiwe la msingi la jengo la Ufundi Tower katika Chuo cha Ufundi Arusha, Mei 24, 2022
Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo la Ufundi Tower
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Saidi Issa ambaye ni Meneja wa Ktengo cha Uzalishaji, Chuo cha Ufundi Arusha kuhusu ujenzi wa Jengo la Ufundi Tower wakati Waziri Mkuu alipoweka jiwe la msingi la jengo hilo jijini Arusha, Mei 24, 2022.
Prof. Mkenda ataka Vyuo vya Ufundi kuzalisha Wanafunzi watakao weza kuajiajiri au kuwajiriwa katika Soko la Ajira la ndani na nje ya nchi.
Automotive Engineering Students in Practical Session
Student Practical Work on Plumbing
Electrical Engineering
Electrical Engineering Students in the practical Session

Rector

Dr. Musa N. Chacha

The College was established in 1978 jointly by the Governments of the United Republic of Tanzania and Germany also known as FRG-Federal Republic of Germany “West Germany”, under the name of the Technical College Arusha (TCA).The College is located at the Central Business District of the Arusha City which is the Northern Tanzania’s centre of agriculture, commerce, trade and tourism.Arusha City is also the Head Quarter of the East Africa Community and is the central point in Africa between Cape Town and Cairo.It is surrounded by famous mountains such as Mount Kilimanjaro and Mount Meru. In addition, it is the door to the world’s great wildlife refuges including Ngorongoro Crater, Serengeti and Tarangire. All these make the location of the College an ideal place for studying.

 

Part of the responsibilities of ATC at the time of its inception was to train technicians for three years to the level of the Full Technician Certificate (FTC) in the fields of Automotive Engineering, Civil Engineering, Electrical Engineering,Transport Engineering and Mechanical Engineering. In March 2007, the name changed to the Arusha Technical College (ATC) through the Arusha Technical College Establishment Order No. 78 as enabled by the NACTE Act No. 9 of 1997.This Establishment Order granted autonomy and elevated the status of the College to a higher tertiary education institution. Following elevation of the status of the College to a higher tertiary education institution and grant of autonomy, the College introduced award of the Ordinary Diploma in the above mentioned programmes and introduced more Ordinary Diploma and Certificate awards in various professions namely: Electronics and Telecommunications Engineering; Civil and Irrigation Engineering, Auto electric and Electronics Engineering, Laboratory Sciences and Technology, Lapidary & Jewelry Technology,Computer Science and Information Technology. 

Read more ...

Are you interested in joining Arusha Technical College?

The College is accredited by the National Council for Technical Education (NACTE) to run and grant awards to successful candidates in technician and Engineering programmes. Awards offered are Ordinary Diploma namely the National Technical Level (NTA) 4 – 6 and the prospective Bachelor of Engineering namely the National Technical Level (NTA) 7 - 8. Apply Now!