Pre-technology ni kozi ya muda mfupi inayoandaliwa na Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kwa kushirikiana na vyuo vya Sault na Parkland vya Canada kupitia mpango wa ISTEP chini ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kupitia Baraza la Ufundi la Taifa (NACTE)

Lengo la mafunzo haya ni kuwawezesha wahitimu wa mafunzo ya VETA wenye NVA III kupata sifa stahiki za kuendelea na mafunzo kwa ngazi ya cheti yaani NTA Level 4 hadi Diploma yaani NTA Level 6 katika Chuo cha Ufundi Arusha baada ya kufaulu.

 

 

Bofya hapa kusoma zaidi.

Applications are invited from qualified Candidates for admission into Ordinary Diploma (OD) and Basic Technician Certificates tenable at the ARUSHA TECHNICAL COLLEGE for the academic year 2019/2020.    

Click here for more information

Ifuatayo ni orodha ya wahitimu watakaopata tuzo mbalilmbali katika mahafali ya 10 ya Chuo cha Ufundi Arusha yatakayofanyika tarehe 19/01/2019.Bofya hapa kusoma zaidi.

 Wafuatao wamechaguliwa kujiunga na Chuo cha Ufundi Arusha katika kozi ya Pre Technology kwa mwaka wa masomo 2018/2019 kama inavyoonekana kwenye Jedwali. Vile vile mnafahamishwa kuwa masomo yataanza rasmi tarehe 28 Januari, 2019. 

 Karibuni sana Chuo cha Ufundi Arusha.

Bofya hapa kusoma zaidi.

Click here to view Tracer Study for ATC Graduates to be filled and submitted to Registrar's Office during 10th graduation ceremony on 19/1/2019 or send by e-mail: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.