TANZIA

 

Kwa niaba ya Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha na kwa niaba ya kamati ya Maafa Chuo cha Ufundi Arusha; Ninasikitika kuwatangazia kifo cha Mfanyakazi Mwenzetu  Mary Mushi Kilichotokea leo  Jumapili tarehe 18 Machi, 2018 Saa 3:30 Asubuhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Mipango ya Mazishi inafanyika Nyumbani kwa ndugu wa  Marehemu waliopo Dar es Salaam. Taarifa zaidi tutajulishwa baadae.

Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema. AMINA

 

Imetolewa na:

Ofisi ya Uhusiano chuo cha Ufundi Arusha