TANGAZO

Wanafunzi wafuatao wamechaguliwa kujiunga na kozi maalumu (Pre Technology Course) itakayowawezesha kujiunga na masomo ya Stashahada kutoka Chuo cha Ufundi Arusha

Kozi hiyo itaanza tarehe 07. 05. 2018 na itafanyika kwa muda wa majuma kumi na mbili (twelve weeks)

Hivyo wanafunzi wote waliochaguliwa wanatakiwa kufika chuoni siku ya Jumatatu tarehe 07. 05. 2018 saa mbili kamili asubuhi.

Tafadhali tunaomba ufike na nakala halisi ya vyeti vya elimu na cheti cha kuzaliwa. Pia uje na ada kamili.

 

Kuona majina ya waliochaguliwa bofya hapa download