Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha anawatangazia wahitimu, wanafunzi, watumishi, wadau na watu wote kuwa mahafali ya 14 ya Chuo cha Ufundi Arusha yatafanyika tarehe 8/12/2022 katika kampasi kuu. Mahafali haya yatatanguliwa na sherehe ya kusanyiko (Convocation Ceremony) itakayofanyika siku ya tarehe 7/12/2022. Pia sherehe ya kusanyiko (Convocation Ceremony) itatumika kutambua na kuwatunukia zawadi wanafunzi wote waliofanya vizuri  katika masomo yao.

 

 

Bofya hapa  kusoma Tangazo.

 

 NB:  Bofya hapa chini kuona Majina ya Wahitimu  NTA level 4 hadi NTA Level 8 .  Nywila ( Neno la siri ) kwa kila Level zinapatika kwa Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi (SOATECO) Tafadhali fanya mawasiliano:

 

Bofya hapa  kuona majina ya wahitimu NTA Level 4.

Bofya hapa  kuona majina ya wahitimu NTA Level 5.

Bofya hapa  kuona majina ya wahitimu NTA Level 6.

Bofya hapa  kuona majina ya wahitimu NTA Level 7.

Bofya hapa  kuona majina ya wahitimu NTA Level 8.