Inclusion of young women in TVET and the labour market
List of Short Courses from Different Fields.
14th Graduation Ceremony
Study with Us !
ATC NA RUWASA ZASAINI MKATABA
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Dkt. Musa N. Chacha na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Mhandisi Clement KIVEGALO wakionesha Mkataba wa makubaliano wa Utengenezaji wa Dira za Maji za Malipo ya kabla ya Matumizi baina ya ATC na RUWASA waliosaini leo 21 Juni, 2022, jijini Dodoma na kushuhudiwa na Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Juma Kipanga (Hayupo kwenye picha). Mkataba huu utakiwezesha Chuo cha Ufundi Arusha Kutengeneza Dira za Maji za Malipo ya Kabla ya Matumizi zipatazo mia moja ambazo zitatumiwa na RUWASA katika kuboresha Makusanyo na matumizi ya maji vijijini kwa kipindi cha miezi sita.
Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo la Ufundi Tower
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoweka jiwe la msingi la jengo la Ufundi Tower katika Chuo cha Ufundi Arusha, Mei 24, 2022
Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo la Ufundi Tower
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Saidi Issa ambaye ni Meneja wa Ktengo cha Uzalishaji, Chuo cha Ufundi Arusha kuhusu ujenzi wa Jengo la Ufundi Tower wakati Waziri Mkuu alipoweka jiwe la msingi la jengo hilo jijini Arusha, Mei 24, 2022.
Prof. Mkenda ataka Vyuo vya Ufundi kuzalisha Wanafunzi watakao weza kuajiajiri au kuwajiriwa katika Soko la Ajira la ndani na nje ya nchi.
Ziara
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na menejimenti ya Chuo cha Ufundi Arusha alipotembelea Chuo hicho kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za kiutumishi. Kulia kwake ni Mkuu wa chuo hicho Dkt. Musa Chacha na kulia kwake ni Naibu Mkuu wa Chuo Dkt. Florence Mamboya.
Automotive Engineering Students in Practical Session
Student Practical Work on Plumbing
Electrical Engineering
Electrical Engineering Students in the practical Session

Deputy Rector Academics,Research and Consultancy Profile