Serikali itaendelea kutoa fedha za kuboresha miundombinu ya Vyuo vya Ufundi ili  wanafunzi wa Kitanzania waendelee kupata elimu katika mazingira bora. Hayo yamesemwa  Jijini Arusha na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la maabara, madarasa na ofisi (Ufundi Tower) katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC). Amesema Serikali imetoa fedha nyingi kwa ajili ya kuboresha sekta ya Elimu kuanzia Awali hadi Vyuo Vikuu kwa       wanafunzi wa kawaida na wenye mahitaji maalum.

"Tumejenga madarasa, mabweni, maabara za masomo ya sayansi, tumeongeza nyumba za walimu, majiko na mabwalo ili watoto wa Kitanzania waweze kupata elimu bora bila   changamoto yoyote," amesema mhe. Majaliwa.

Mhe. Majaliwa ameongeza kuwa Serikali pia inafanyia kazi suala la upatikanaji wa mikopo kwa wanafunzi wa ngazi ya Diploma kupitia tume ya kutathmini iliyoundwa na Wizara ya Elimu ili kuona namna ya kuweza kutoa mikopo kwa    wanafunzi wa elimu ngazi ya kati.

 

bofya hapa kusoma zaidi   

Arusha Technical College invites all qualified applicants to apply various Ordinary Diploma Programmes offered by ATC. The deadline for Diploma Applicants 15.08.2022

click here for more detail   

Find Attached Document Describing The Invitation For Applications For Short Courses For Year 2022

PRESS RELEASE

 

 

 

Appointment of Dr. Musa N. Chacha as the Rector of Arusha Technical College (ATC)

 

Arusha, 1st April, 2022,

 

 

This is to inform the College Community and General Public that, the Minister for Education, Science and Technology Hon. Prof. Adolf Mkenda has appointed Dr. Musa N. Chacha to the position of the Rector of Arusha Technical College. The appointment is for five years with effective from 1st April 2022.

 

click here for more details