Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Dkt. Musa N. Chacha akipokea Cheti cha Ushiriki kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Prof. Mayunga Nkunya wakati wa kufunga maonesho ya vyuo vikuu Tanzania tarehe 5 Septemba 2020, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (kushoto) akiongozana na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba (katika) alipotembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC). Kulia ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dkt. Musa N. Chacha
Mechanical EngineeKaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP Koka Moita (Kulia) akionesha mfano wa kunawa kwenye mashine maalumu ( No- Touch Hand Wash Machine) aliyokabidhiwa kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Dkt. Musa N. Chacha (Kushoto) ikiwa ni kuungana na Serikali katika mapambano dhidi ya kuenea kwa Virusi vya Corona- Covid 19. Mashine hii Maalumu imebuniwa na kutengenezwa na Chuo cha Ufundi Arusharing Student in Practical session in Machine shop
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba (aliyekaa katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mawaziri wanaosimamia Elimu, wajumbe wa Kamati anayoisimamia, Menejinenti na Watumishi Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) wakati walipotembelea kukagua miradi ya elimu inayotekelezwa
Student Practical Work on Plumbing
Automotive Engineering Students in Practical Session
The Acting Rector of Arusha Technical College, Dr. Musa N. Chacha (Center) gives his opening remarks during the the ATC Workers' Council Annual meeting held on 21st February, 2020 at ATC Board Room. Others in the photo are Dr. Erick V. Mgaya (left), the Deputy Rector, Administration, Finance and Planning and Mr. Idd Chodas (right), the secretary to the Council.
Modern Machine for Practical Training at Mechanical Engineering workshop.

Welcome to ATC Main website

 

This Page Is Under Construction It Will Be Available Soon!.