+255-(0)27- 297 0056 Junction of Moshi-Arusha and Nairobi Roads rector@atc.ac.tz SMS Online Application CMU

contact info

+255-(0)27- 297 0056
Junction of Moshi-Arusha and Nairobi Roads
SMS
CMU

Post Details

WAZIRI MKUU AVUTIWA NA UBUNIFU ATC

WAZIRI MKUU AVUTIWA NA UBUNIFU ATC Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amevutiwa na ubunifu wa mita za maji za malipo ya kabla (Water Pre-paid Meter) uliofanywa na Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kwenye maadhimisho ya kitaifa ya wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu. Akizungumza wakati alipotembelea Banda la ATC katika kilele cha Maadhimisho hayo Ijumaa tarehe 31 Mei, 2024, Mhe. Majaliwa amekipongeza Chuo cha Ufundi Arusha kwa kubunifu Mita za maji za malipo ya kabla ambazo zitakuwa shuluhisho kwa changamoto zinazowakabili watumiaji wa maji hapa nchini.

  May 31, 2024   |